ndo naingia mpenzi.....hujambo.....?
asante.....karibu dinner....
Wapendwa nipo safarini kuelekea nyumbani Yaeda....nipo ndani ya basi linaitwa Buibui....lina koroboi juu.....niombeeni nifike salama....nitarudi na nyanyi kausha......kwa atakaependa.....anipe order nitamletea....bure...
Ukirudi nibebee yule jogoo mwekundu nilimsahau pale kwa mjomba Paschal.wali na kuku.....mgeni mie ujue.....
Mke mwenza masai wa nini tena?Hivi yaeda bado kuna wale wa masai kama yule mkaka wa kwenye white maasai? Naomba uniletee mmoja.
Kwansa kabtha POLE THANA KWA UCHOFU WA SAFARI MAMITO PRETA. Kwa wasioijua Yaeda; kuna jamii ya wa2 "endemic" wanaitwa wahadzabe/wasandawe/watindiga a.k.a "hagite". Idadi yao hawazidi 1000, chakula chao ni mizizi ya mimea, matunda na nyama za wanyamapori! Lugha yao ni noma, hebu Preta 2pia humu hata neno moja la hao ndg zako! Salamu zao huko.
Wapendwa nipo safarini kuelekea nyumbani Yaeda....nipo ndani ya basi linaitwa Buibui....lina koroboi juu.....niombeeni nifike salama....nitarudi na nyanyi kausha......kwa atakaependa.....anipe order nitamletea....bure...
kwa niaba ya mgeni wetu nasema [nxanxweqh xhiimo or konki waxantqwxxn] maana yake ni kwamba mgen wetu amefika salama na mda huu yupo na bibi yake anampa machache jinsi ya kuishi na hawa mafisadi wa kijani!
wali na kuku.....mgeni mie ujue.....
Mjumbe hauwawi au siyo?????