....tugeza foreva...bebii....we will die tugeza........
.....hahahahahahaha..chukua hiyoo...huu mkwara nimeupenda sana! Nitautumia kwa sweetlady na Nicas Mtei
...mkuu siwezi kupigwa chini..ngoja kwanza naweka mambo sawa..ukweni muhimu...
...mkuu siwezi kupigwa chini..ngoja kwanza naweka mambo sawa..ukweni muhimu...
...hahahahahahaha..wataganda we waache tuwale wachomeka mkuki watakuwa washamaliz akila kitu wewe hapo unaenda kuambulia makombo aise mtu chake fanya fanya uende aise
halua haina makombo weyeee..........
Hata gari lijae aje dreva hakosi siti
Wa kuogopa mikwara ni mimi mtoto wa ngarenaro?huu mkwara nimeupenda sana! Nitautumia kwa sweetlady na Nicas Mtei
khaaaaaa!...hata sipajui...
Wa kuogopa mikwara ni mimi mtoto wa ngarenaro?
..ndioo kwani uongo..?khaaaaaa!