Safarini Yaeda.....

Safarini Yaeda.....

Preta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Posts
24,320
Reaction score
18,852
Wapendwa nipo safarini kuelekea nyumbani Yaeda....nipo ndani ya basi linaitwa Buibui....lina koroboi juu.....niombeeni nifike salama....nitarudi na nyanyi kausha......kwa atakaependa.....anipe order nitamletea....bure...
 
Eeeeh safari njema ungeniambia ningekusindikiza, uwe unasema basi, naelewa mambo ya vakesheni.
 
wasalimie wote, uniletee ile mboga/nyama iliyokaushwa na kutunzwa kwenye kibuyu au chungu, usisahau kuniletea eeh.
 
Back
Top Bottom