Safe House

Safe House

Safe house ni POLISI....

Hujawahi kusikia polisi wanatoa KAULI kwamba mtuhumiwa yuko sehemu/mahala salama...!!?
 
Kwa mtanzania wa kawaida ni kama usiku wa giza. Safe house ni nyumba maalumu katika mji ambapo taasisi ya kijasusi ya marekani imeweka kambi. Kambi hizi zipo kila nchi duniani. Kwa hapa tanzania kambi ipo dar es salaam,
iko mtaa gani nikachunguli, huenda makanikia yamefichwa humo
 
Mi najua Ile movie tu inayoitwa safe house ya Denzel Washington,kwenye Ile movie kuna safe house.
 
Intelijensia nayo ni taaluma kama taaluma zingine, ni kwamba tu ni taaluma nyeti kuliko taaluma zingine. Lakini hili halizuii kujua baadhi ya vitu vya 'kawaida' kuhusu taaluma hiyo. Sio usiri kwenye jambo kama hili kwenye zama kama hizi, kama wezentu wanatengeneza hadi filamu kuonesha baadhi ya sehemu nyeti ya ikulu zao, au unyeti wa vyombo vya usafiri wa viongozi wao wewe hapa kujadili safe house tu unaona shida?
Kile cha kwenye movie sio uhalisia mkuu japo hutengeneza mazingira kulingana na story husika
 
mimi kwa mchepuko wangu ndio natumia kama safe house.
 
Back
Top Bottom