Mgodo visa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 3,590
- 3,632
iko mtaa gani nikachunguli, huenda makanikia yamefichwa humoKwa mtanzania wa kawaida ni kama usiku wa giza. Safe house ni nyumba maalumu katika mji ambapo taasisi ya kijasusi ya marekani imeweka kambi. Kambi hizi zipo kila nchi duniani. Kwa hapa tanzania kambi ipo dar es salaam,
Ernest Mangu karudi shule.... OPARESHENI VYETI FEKI IMEMZOA...Ernest Mangu yuko huko?
Njoo saivUnatambua kuwa jengo la kanisa linaweza kutumika kama safe house??
Nitarudi baadaye kwa maelezo ya kina!
Kile cha kwenye movie sio uhalisia mkuu japo hutengeneza mazingira kulingana na story husikaIntelijensia nayo ni taaluma kama taaluma zingine, ni kwamba tu ni taaluma nyeti kuliko taaluma zingine. Lakini hili halizuii kujua baadhi ya vitu vya 'kawaida' kuhusu taaluma hiyo. Sio usiri kwenye jambo kama hili kwenye zama kama hizi, kama wezentu wanatengeneza hadi filamu kuonesha baadhi ya sehemu nyeti ya ikulu zao, au unyeti wa vyombo vya usafiri wa viongozi wao wewe hapa kujadili safe house tu unaona shida?
Mmmhhh mbona yupo mtaani mkuuErnest Mangu yuko huko?
Nilipoona title ya Uzi nkamkumbuka DW kwenye safe houseMi najua Ile movie tu inayoitwa safe house ya Denzel Washington,kwenye Ile movie kuna safe house.