Tetesi: Safe za mabenk au vyumba vya kuwekea hela viko sehemu gani kwenye mabenki na je ramani za vyumba vya pesa kwenye mabenki zinafanana kama vituo vya afy


Information unazo ziulizia. Ni highly sensitive.
Mtu wa kawaida hatakiwi kuwa nazo.

-picha za safe zipo hata google. Unawezs zipata
- raman za mabenki hazifanani
- bank manager si cheo cha kujificha. Watu watahitaj huduma zake na lazima awepo

4,5,6,7 ni highly classified documents. Kama raia wa kawaida hutakiwi kuzifaham.
Unless uko kwenye law enforcement forces.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umejibu kiweledi mkuu

Roger that!
 
mawazo ya popoma White House ya Trump mpk ramani ya chumba anacholala IPO google we shule ulienda kufundishwa ujinga?
Usiamini sana Google, mtandaoni Kuna taarifa zile tu ambazo wahusika wanataka ujue, wenyewe wanaita a tip of iceberg. By the way, hata trump hajui ramani halisi ya white house.

Think deep and critically

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha wewe Hapana hata humu jf huaminiki

Ha ha haaaaaa
Mie mdau wa humu sasa huniamini kisa!!..
Kwani ujuzi wa hayo si hata gugo unayapata ujisomee na kuona..
Labda ningekueleza ya kizaidi.. uyajue tu..😊
 
Jibu huwezi pata we nenda kavamie uone cha mtema
 
White house inakuwa improved every year. Wapi kinakaa nini na vipi hutakaa ujue.
Hata hivyo kwenye masuala ya ulinzi gov huwa waachia document ambazo hazina madhara kwao. Hiyo raman ni ya zamani. Muundo wa zaman.. ila kwa ndani ni habari nyingine.
mawazo ya popoma White House ya Trump mpk ramani ya chumba anacholala IPO google we shule ulienda kufundishwa ujinga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Hizo huitwa Strong room... Ni zege mwanzo mwisho ( pande zote yaani sakafu, Ceiling, na kuta zote). Na ratio ya zege lake + unene ni mkubwa ili kuchelewesha tukio la kivamizi endapo mtu anataka kuvamia. Inatakiwa atleast 48 hrs liweze kuhimili. Humo pia huwekwa sensitive informations ambazo hata moto ukitokea bank zinakuwa safe.
2. Ramani hazifanani. Hii inatokana na falsafa ya kila bank katika kutoa huduma. I mean functions zao ni tofauti.
3. Kwenye banks kuna front activities na back activities. Manager anatakiwa kuona kila kitu pale bank. Km kuna changamoto imetokea yy ni rahisi kuchukua hatua.

NB: Strong room huwezi kupata access ya kupaona. Na ujue tu kuwa hata askari unaowaona bank hawapo responsible na wizi wa ndani kwa maana hawailindi hiyo strongroom na wala hawajui location yake. Access ya huko anakuwa anajua mtu mmoja tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lait Kama wanna jf wote tungekuwa hivi ingependeza Sana jibu fupi on point Na lisilo na madhara kwa taasisi zetu ni swala la ufahamu tu asante mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…