Tetesi: Safe za mabenk au vyumba vya kuwekea hela viko sehemu gani kwenye mabenki na je ramani za vyumba vya pesa kwenye mabenki zinafanana kama vituo vya afy

Tetesi: Safe za mabenk au vyumba vya kuwekea hela viko sehemu gani kwenye mabenki na je ramani za vyumba vya pesa kwenye mabenki zinafanana kama vituo vya afy

1. Hizo huitwa Strong room... Ni zege mwanzo mwisho ( pande zote yaani sakafu, Ceiling, na kuta zote). Na ratio ya zege lake + unene ni mkubwa ili kuchelewesha tukio la kivamizi endapo mtu anataka kuvamia. Inatakiwa atleast 48 hrs liweze kuhimili. Humo pia huwekwa sensitive informations ambazo hata moto ukitokea bank zinakuwa safe.
2. Ramani hazifanani. Hii inatokana na falsafa ya kila bank katika kutoa huduma. I mean functions zao ni tofauti.
3. Kwenye banks kuna front activities na back activities. Manager anatakiwa kuona kila kitu pale bank. Km kuna changamoto imetokea yy ni rahisi kuchukua hatua.

NB: Strong room huwezi kupata access ya kupaona. Na ujue tu kuwa hata askari unaowaona bank hawapo responsible na wizi wa ndani kwa maana hawailindi hiyo strongroom na wala hawajui location yake. Access ya huko anakuwa anajua mtu mmoja tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeandika vyema kabisa ila access ya strong room na ATM ni watu wawili. Hii ni kupunguza uwezekano wa kutokea wizi kirahisi, so mtu mmoja hawezi fungua na kuingia kwa vault (labda huyo mwenzake amuamini na kumpa access) mahali ilipo strong room sio siri kwa watumishi wa benki kwani bila access ya kupitia mlangoni ni ngumu sana kuingia.
 
bank-vault-dv631038-small.jpg
438140434_1280x720.jpg
 
Back
Top Bottom