Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
Mkuu hizi boot zidhani kama ni za kutokea mtoko,*SAFETY BOOT ON SALE*
Nauza Safety boot aina ya Safety jogger. Namba 42 au 8. Ni heavy duty pia ni Oil resistant antislip. Ina chuma mbele. Ni mpya kabisa na box lake haijawai valiwa. Ina muonekano wa kibabe sana. Sometimes unaweza toka nayo kwa mitoko ya kibabe. Bei ni 60K. Pia kama una kiatu cha thaman hiyo tunaweza exchange lakini mpaka nikipende. Kiwe namba 43 au 44 sio mbaya..
Zipo pair 2View attachment 920968
Mkuu hizi boot zidhani kama ni za kutokea mtoko,
Mara nyingi nazionaga kwa wafanyakazi wale wanaofanya manual/casual works. Mara nyingi huvaliwa na overall na kofia ngumu.
Nina 40,000 size 43
Wengine wanatokea mitoko hizo,hao hao mafundiMkuu hizi boot zidhani kama ni za kutokea mtoko,
Mara nyingi nazionaga kwa wafanyakazi wale wanaofanya manual/casual works. Mara nyingi huvaliwa na overall na kofia ngumu.