Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
*SAFETY BOOT ON SALE*
Nauza Safety boot aina ya Safety jogger. Namba 42 au 8. Ni heavy duty pia ni Oil resistant antislip. Ina chuma mbele. Ni mpya kabisa na box lake haijawai valiwa. Ina muonekano wa kibabe sana. Sometimes unaweza toka nayo kwa mitoko ya kibabe. Bei ni 60K. Pia kama una kiatu cha thaman hiyo tunaweza exchange lakini mpaka nikipende. Kiwe namba 43 au 44 sio mbaya..
Zipo pair 2