Safi sana. Hata Kenya na Msumbiji naona wakipitisha Mizigo yao Bandari ya Dar Es Salaam

Safi sana. Hata Kenya na Msumbiji naona wakipitisha Mizigo yao Bandari ya Dar Es Salaam

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Mambo yamepamba moto kweli kweli ufanisi umeongezeka. Baada ya South Africa kuanza pitisha mizigo ya TZ sasa itafuatia Kenya, Msumbiji, Somalia n.k tuendelee kufanya kazi kwa style hii hii.
 
Sio Mitano tena ni milele kabisa....
Uchumi wa kati.....
Nchi hii ni tajiri sana....
Au nasema uongo ndugu zanguuuuu....
Unaijua vieite wewe!!!
Sisi tunatembelea mavieitee...
 
Attachments

  • IMG_20210112_150518.jpg
    IMG_20210112_150518.jpg
    86.3 KB · Views: 1
Australia na Canada nao wametuma maombi ili wawaze kutumia bandari yetu.. Ombi Lao linafikiriwa
Sio Mitano tena ni milele kabisa....
Uchumi wa kati....
Nchi hii ni tajiri sana....
Au nasema uongo ndugu zanguuuuu...
M[emoji2772] tena ndugu zangu
 
Australia pia inapitisha mizigo yake bandari ya Dar.
 
Australia na Canada nao wametuma maombi ili wawaze kutumia bandari yetu.. Ombi Lao linafikiriwa
Sio Mitano tena ni milele kabisa....
Uchumi wa kati....
Nchi hii ni tajiri sana....
Au nasema uongo ndugu zanguuuuu...
Mbona umewasahau Marekani na china.
 
Inawe
Mambo yamepamba moto kweli kweli ufanisi umeongezeka. Baada ya South Africa kuanza pitisha mizigo ya TZ sasa itafuatia Kenya, Msumbiji, Somalia n.k tuendelee kufanya kazi kwa style hii hii.
Inawezekana umevuta bangi ya kutosha mpaka ubongo wako ume stack
 
Mbona umewasahau Marekani na china.
Marekani. China. Dubai na nchi zote za kiarabu wameomba watumie bandari ya chato sasa bado tunaongelea maslahi kwa nchi husika
Nchi hii ni tajiri sana...
Au nasema uongo ndugu zanguuuuu.....
 
Back
Top Bottom