Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Kweli mtupu mzee hata uingereza nao wameomba
Australia na Canada nao wametuma maombi ili wawaze kutumia bandari yetu.. Ombi Lao linafikiriwaKweli mtupu mzee hata uingereza nao wameomba
Kwani wewe hujui kama tupo Uchumi wa kati?Lete evidence buana wewe
πππππKwani wewe hujui kama tupo Uchumi wa kati?
M[emoji2772] tena ndugu zanguAustralia na Canada nao wametuma maombi ili wawaze kutumia bandari yetu.. Ombi Lao linafikiriwa
Sio Mitano tena ni milele kabisa....
Uchumi wa kati....
Nchi hii ni tajiri sana....
Au nasema uongo ndugu zanguuuuu...
Mbona umewasahau Marekani na china.Australia na Canada nao wametuma maombi ili wawaze kutumia bandari yetu.. Ombi Lao linafikiriwa
Sio Mitano tena ni milele kabisa....
Uchumi wa kati....
Nchi hii ni tajiri sana....
Au nasema uongo ndugu zanguuuuu...
Inawezekana umevuta bangi ya kutosha mpaka ubongo wako ume stackMambo yamepamba moto kweli kweli ufanisi umeongezeka. Baada ya South Africa kuanza pitisha mizigo ya TZ sasa itafuatia Kenya, Msumbiji, Somalia n.k tuendelee kufanya kazi kwa style hii hii.
Marekani. China. Dubai na nchi zote za kiarabu wameomba watumie bandari ya chato sasa bado tunaongelea maslahi kwa nchi husikaMbona umewasahau Marekani na china.