Safi sana Mh. Try Again (Salim Muhene)

Alichaguliwa yeye peke yake ama ali apply yeye peke yake kwa Africa Masharik?
 
Punguza maumivu kwa kunywa panadol masharili ni ndio nini
Sawa ila ujumbe umefika. Yeyote yule anaruhusiwa ku apply kigezo ni hivyo viwili tu uwe ni C.E.O wa club na uwe na muda wa kutosha kushiriki course hadi mwisho.
 
Sawa ila ujumbe umefika. Yeyote yule anaruhusiwa ku apply kigezo ni hivyo viwili tu uwe ni C.E.O wa club na uwe na muda wa kutosha kushiriki course hadi mwisho.
Inawezekana kuna wengine hapa hapa Nchini wali apply na wakakataliwa kwa kukosa vigezo.
 
Hiyo ni program unayo chaguliwa, ndo maana wamesema lazima mtu awe available
Kuchaguliwa na kigezo cha kuwa available kunahusiana vipi? Umesoma sentensi yote ukaielewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…