curie
JF-Expert Member
- Oct 25, 2020
- 699
- 1,600
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza maumivu kwa kunywa panadol masharili ni ndio niniAlichaguliwa yeye peke yake ama ali apply yeye peke yake kwa Africa Masharili?View attachment 2510139
Ndio ubingwa wenu huu.Simba...na hii ndo maana ya Timu kubwa
Wakati tunashinda miaka 4 mfululizo mbona hukusema ndo ubingwa wenu??Ndio ubingwa wenu huu.
Sawa ila ujumbe umefika. Yeyote yule anaruhusiwa ku apply kigezo ni hivyo viwili tu uwe ni C.E.O wa club na uwe na muda wa kutosha kushiriki course hadi mwisho.Punguza maumivu kwa kunywa panadol masharili ni ndio nini
Inawezekana kuna wengine hapa hapa Nchini wali apply na wakakataliwa kwa kukosa vigezo.Sawa ila ujumbe umefika. Yeyote yule anaruhusiwa ku apply kigezo ni hivyo viwili tu uwe ni C.E.O wa club na uwe na muda wa kutosha kushiriki course hadi mwisho.
Ameuliza alichaguliwa au aliomba?Punguza maumivu kwa kunywa panadol masharili ni ndio nini
Kama nani ali apply?Inawezekana kuna wengine hapa hapa Nchini wali apply na wakakataliwa kwa kukosa vigezo.
Kaka hawa mbumbumbuSawa ila ujumbe umefika. Yeyote yule anaruhusiwa ku apply kigezo ni hivyo viwili tu uwe ni C.E.O wa club na uwe na muda wa kutosha kushiriki course hadi mwisho.
Uko sahihi kabisaKushabikia Mpira wa Bongo inahitaji uwe mjinga kidogo.
Hiyo ni program unayo chaguliwa, ndo maana wamesema lazima mtu awe availableAlichaguliwa yeye peke yake ama ali apply yeye peke yake kwa Africa Masharik?View attachment 2510139
Kuchaguliwa na kigezo cha kuwa available kunahusiana vipi? Umesoma sentensi yote ukaielewa?Hiyo ni program unayo chaguliwa, ndo maana wamesema lazima mtu awe available