Safi sana Mo Dewji

Safi sana Mo Dewji

MO ubunge umeupata mbinu unazijua.Na sisi hatupendi sana misada yako ila tunapenda utusikilize. Na ukitoa msaada wowote utakumbana Hosea. endelea kutusikiliza endelea kutujali bila kutoa msaada wowote.
 
Ngugi wa Thiong'o aliwahi kuandika katika moja ya vitabu vyake, Najua wengi tutakuwa tunakumbuka, alisema"....There shall come some people, strangers from far, please do not spear them but learn there ways and then........." Tatizo lipo hapo kwenye Red ndio panapotufanya watanzania tushindwa kuelewa....:A S-confused1:
 
Vizuri sana, wengi tunakubaliana hiyo ni a publicity stunt tuu , hana lolote hapo, lakini kwa upande mwingine ana inspire watoto , hapo nauhakika kuna mtoto angalau mmoja kaona tajiri na kaa na masikini kuwafariji na kuwasikiliza ina wezekana huyo mtoto au watoto wakikua na wakibarikiw akuw ana pesa watakumbuka hii siku na kuweza kufanya kama huyo alivyo fanya hapo , itajenga na kukuza utu na upendo kwa wenzetu.
 
Halafu ukiangalia kila event sio hata ya empowerment, kila kitu ni handouts

Hili ndiyo huwa linanibore mno kuhusu hawa wabunge wa CCM style, and yet some one tells us kwa mtaji huu nchi itaendelea!!!!!
 
Mo Dewji arguably ndiye mbunge anayewajulia wabongo as far as media manipulation is concerned kuliko mbunge mwingine yeyote.

Halafu ukiangalia kila event sio hata ya empowerment, kila kitu ni handouts.Ni kama ananunua popularity.


A Tribe Called Quest wanakwambia "Industry rule number 4080, record company people are shadyyyyyy"

They might have as well have been speaking about politicians and Mo in particular.

Umeongelea suala la empowerment. Hakuna mbongo anayeketi chini kuona umuhimu wa hili. Umaskini umewachakaza kiasi hawawezi kuona beyond the next meal.. Thats Wabongo 4 u!

Nway, najua ni kazi kuepa media manipulations kwa wengi wetu hata wananchi wa dunia ya kwanza nao wana-succumb kwa hili, hata baadhi ya watu humu in the so called 'great thinking' wame-fall for this cheap unspectacular stunts.
 
2wnuyqu.jpg


Wengi mmesema mabaya yake mimi nasema mazuri yake,

amependeza sana na hio body tight na miwani ya concert/performace nilifikiri Enrique mtoto wa Julio
 
Ikifikia kipindi hiki, hata kama ni kumbeba mtu kichwani wanaweza,
 
Ni Mbwembwe Watanzania wenzangu!! Kuna agenda ya siri nayo ni kuendelea kumpa Kura ili aendelee na Juilimbikizia tayari alizowakomba watanzania!! Kwani saa hiii? anatakiwa awe bungeni akisoma na kuihakiki bajeti kama mwakilishi wa wananchi matokeo ni kuangalia kombe la dunia na kujifanya kwenda kukaa chini akiongea na mwal. MBONA HATA WHEEL CHAIR HAJMPELEKEA AU HATA KABAJAJI?? Ni machozi ya Mamba!!!!
 
For me he is just boosting his popularity for his campaign and manipulating minds of poor people of Singida-its just like a movie, a comedy movie.
 
Back
Top Bottom