Hivyo ndivyo yanavyopaswa kujibiwa maswali ya kipashkuna,
Hivyo ndivyo anavyopaswa kujibiwa mwandishi anayesukumwa na wambea wa mitandaoni, a.k.a haters badala ya utaalamu wa taaluma yake.
Hivyo ndivyo wanavyapswa kujibiwa haters wa makamba wote waliopo humu mitandaoni ambao masikio yaliwasimama 'deeeee' kusikilizia jinsi litakavyojibiwa swali lao lililowakilishwa na mburura wao.
Matatizo yapo mengi sana kwa sasa, kulikuwa na haja gani ya kukuliza wewe moja kwa moja swali ambalo linaweza kudhaniwa kuwa una maslahi nalo sababu ya uongozi wa mtoto wako?
Kwanini asingekuuliza habari za mfumuko wa bei, maji, njaa, ukame n.k kama sio walilenga kukuweka kwenye target yao ovu tu?!!
Safi sana mzee kwa kuwatwanga bonge la ndoige! Sasa wapo mitandaoni wanahaha tu wakijitahidi kuendelea kuzusha hili na lile.