Historia inaeleza jinsi Makamba alipokuwa ofisi ya Makamu wa Rais chini ya Mama miaka hiyo kwamba alikuwa kati ya vijana waliokuwa wanaaminika sana na ndio maana baada ya Mama kuwa Rais ameendelea kumuamini.
Pia Nape Nnauye Mama alimkumbuka na kumuamini hadi kumrudisha kwenye baraza la Mawaziri baada ya kutolewa na mtangulizi wake.
Kikubwa zaidi hawa vijana wawili ni watu maarufu sana na wenye nguvu kutokana na background za wazee wao ndani ya chama na Serikalini. Hivyo kuwagusa watu kama hawa inahitaji mtu asiyeyumbishwa.
Niseme tu kuwa kilichofanyika katika mabadiliko haya kimeleta mtizamo kwamba:
1. Unapoharibu utawekwa pembeni bila kujali umaarufu wako au ukaribu wako na Mama
2. Kitendo hiki kinajenga uwajibikaji kwa wengine hasa wanapotafakari umaarufu wa NAPE NA MAKAMBA lakini wamewekwa pembeni
3. Kitendo hiki kinaleta imani kubwa kwa Chama na Rais.
Mama yetu Mwenyezi Mungu azidi kukuongoza katika haki na uwajibikaji