GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Nilichelewa mishahara ya serikali kwa siku moja, magazeti yote yameandika, mshahara wachelewa...., ingekuwa zama zile isingetokea, sasa niliposikia hapa leo kwamba hamlipwi, hamna mikataba na mmenyamaza kimyaa...hamsemi nikasema kweli mfinyanzi anakula kwenye magai poleni ndugu zangu..., mngeamua kusema mabosi wangestuka wangekulipeni"--Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan - Rais wa Tanzania.
Chanzo: itvtz
Kuna media moja ipo Jirani na Wavaa Gwanda sasa wana Mwaka na Nusu hawajalipwa ila wala hawajiandiki / hawajitangazi.