Naki 12
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 1,246
- 1,273
mhh kazi ipo. hii inawaharibia sana.Wamepost picha za wakati ilipowasili (mpya) hawawezi kupost latest images sababu tutaanza kuwananga.
Alafu hawa jamaa wanatatizo moja tiketi za kukaa zikiisha wanaruhusu kuuza za kusimama ndani ya treni, kitu ambacho huwa ni tatizo kwa safari za treni miaka nenda rudi.