Safu ipi ya ushambuliaji simba vs yanga itatisha musimu huu?

Safu ipi ya ushambuliaji simba vs yanga itatisha musimu huu?

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Yanga sc.

Mayele

Kambole

Morrison

Aziz ki

Moloko

Nkane

Ngushi


Simba sc.

Phiri

Sakho

Banda

Okrah

Manzoki ( kama atasajiliwa)

Kibu

Kyombo
 
Simba wameshakamilisha usajili.
Hapo ongezea mbele BOKO, MUSHIMBA, KAGERE, DILUNGA NA CHAMA
 
Kwanza tuanze na huyo kamale huko alikotoka alikua na magoli mangapi pliiiiiz
 
Simba watatisha aisee! Safu ya ushambuliaji ya Simba, we acha tu! Huku Moses Phiri, huku Okra, kule Meddie Kagere, kule Sakho, katikai Mugalu Mushimba! Kuna John Bocco!

Bado sijamsahau Kibu Denis!

Yanga forward yao ni butu kabisa! Yaani msimu ujao itapata magoli machache sana.
 
KWA FORWARD MUGALU NA KAGERE NA HUYO FIRIMBI SIJUI PHIRI?

YANGA MBELE KWA MBELE
 
Yanga sc.

Mayele

Kambole

Morrison

Aziz ki

Moloko

Nkane

Ngushi


Simba sc.

Phiri

Sakho

Banda

Okrah

Manzoki ( kama atasajiliwa)

Kibu

Kyombo
Huyo Manzoki muondoe, alafu ongeza Makambo na Feisal upande wa Yanga ili twrnde sawa
 
Back
Top Bottom