Safu mpya BAWACHA mbioni kufahamika

Safu mpya BAWACHA mbioni kufahamika

Chadema ipo mbioni kuziba nafasi za viongozi wa jumhia mbalimbali ikiwemo ya wanawake ambazo zipo wazi baada ya viongozi kuvuliwa uanachama. Mchakato wa kupata watu wa kuziba nafasi hizo unaendelea huku baadhi ya wanavyuo wakielezwa kupewa nafasi kwa lengo lakutengeza viongozi wapya. Timu ya makachero imeshaingia kazini kusaka watu wenye ueledi na wasio na doa la rushwa Wala tuhuma za jinai.....tutegemee akina Halima wapya kuzaliwa soon. Mapambano yanaendelea
Upuuzi gani huu, yaani kama mnamakachero makini, mbona mlishindwa uchaguzi kirahisi hivi? Mbona mliweka wagombea wa hovyohovyo?
 
CHADEMA hamtokaa muwe timu moja - CCM ishawaharibu madishi yenu - kwanza hata hao 19 ilikuwa ni hutumia tu
 
CHADEMA hamutokaa muwe timu moja - CCM ishawaharibu madishi yenu - kwanza hata hao 19 ilikuwa ni hutumia tu
Ndugu,
Kwa umri wako ulivyo mdogo, uchawi haukufai utakutesa tu.
Unaonaje ungewaachia kwanza wahenga akina Mzee Wasira.
WAKTI ukifika, kwa bidii mnayoonyesha, wewe na Heri James mtakujarithishwa tu.
 
Jaza nafasi , vibaraka hawana nafasi waende kwa Zitto na , Maalim Seif wakajiunge huko .
 
Ndugu,
Kwa umri wako ulivyo mdogo, uchawi haukufai utakutesa tu.
Unaonaje ungewaachia kwanza wahenga akina Mzee Wasira.
WAKTI ukifika, kwa bidii mnayoonyesha, wewe na Heri James mtakujarithishwa tu.
CHADEMA huwa hamtaki kuambiwa ukweli
 
Chadema ipo mbioni kuziba nafasi za viongozi wa jumhia mbalimbali ikiwemo ya wanawake ambazo zipo wazi baada ya viongozi kuvuliwa uanachama. Mchakato wa kupata watu wa kuziba nafasi hizo unaendelea huku baadhi ya wanavyuo wakielezwa kupewa nafasi kwa lengo lakutengeza viongozi wapya. Timu ya makachero imeshaingia kazini kusaka watu wenye ueledi na wasio na doa la rushwa Wala tuhuma za jinai.....tutegemee akina Halima wapya kuzaliwa soon. Mapambano yanaendelea
Jumhia=Jumuia
 
Back
Top Bottom