Saga la Simba Sc na Hassan Dilunga

Caesar14

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2022
Posts
556
Reaction score
1,044
Habari wakuu,

Nilitaka kujua kwa anayefahamu kuhusu issue hii je HD ameachwa au nini kinaendelea.

Mara ya mwisho tuliambiwa kaenda bondeni kwa matibabu mpaka Sasa kimya.
 
Ameachwa. Mkataba wake hata hvo ulikua umeisha.
 
Habari wakuu,nilitaka kujua kwa anayefahamu kuhusu issue hii je HD ameachwa au nini kinaendelea.
Mara ya mwisho tuliambiwa kaenda bondeni kwa matibabu mpaka Sasa kimya.
unaonekana haupo active na issue za mpira…
mara ya mwisho tuliambiwa au ndo mara ya mwsho wew kusikia?
 
Yapo mahojiano na mwenyekiti wa bodi ya wadhamini Try Again ya tarehe 08,amesema Dilunga mkataba wake umeisha ila bado anahudumiwa na Simba hadi atakapopona...uwezekano wa kuongezewa mkataba baada ya matibabu upo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…