Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaonekana haupo active na issue za mpira…Habari wakuu,nilitaka kujua kwa anayefahamu kuhusu issue hii je HD ameachwa au nini kinaendelea.
Mara ya mwisho tuliambiwa kaenda bondeni kwa matibabu mpaka Sasa kimya.
NakaziaBanda naye wangemuacha tu
Promising star hata Caf wanalijua hlo.Banda naye wangemuacha tu
Kabwili anawakilishwa na wenzake tisa aliowaacha hapo utopoloniMi mwenyewe nataka kujua kabwili ameachwa au yupo maana haonekani yanga.
Sijui kama walikuwepo wakati okwi anakuja SimbaPromising star hata Caf wanalijua hlo.
Ile punyetoHabari wakuu,
Nilitaka kujua kwa anayefahamu kuhusu issue hii je HD ameachwa au nini kinaendelea.
Mara ya mwisho tuliambiwa kaenda bondeni kwa matibabu mpaka Sasa kimya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabwili anawakilishwa na wenzake tisa aliowaacha hapo utopoloni