Mkuu software inapatikana kwa jamaa wa SCI,wapo hapo peugot house opposite na mahakama ya kisutu.wanatoa na training pia!ila sijajua unahitaji kwa ajili ya kampuni au ni binafsi?kuhusu training kama utakua tayar kuna mtaalamu mmoja anaijua fresh unijulishe ili nikuunganishe nae ili mmalizane.