maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,408
- 6,094
Jamani wakuu please ninahitaji hii software na pia kama kuna mtu anweza kunifundisha nimlipe au kama kuna chuo kinafundisha please naomba mnisaidie wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dah mkuu nimeku PM na namba yangu ya simu heb nichekie bosi uniungashee plz kakaMkuu software inapatikana kwa jamaa wa SCI,wapo hapo peugot house opposite na mahakama ya kisutu.wanatoa na training pia!ila sijajua unahitaji kwa ajili ya kampuni au ni binafsi?kuhusu training kama utakua tayar kuna mtaalamu mmoja anaijua fresh unijulishe ili nikuunganishe nae ili mmalizane.