Sahau Singida United, hii ni Singida FC imeamua kusajili

Sahau Singida United, hii ni Singida FC imeamua kusajili

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Hapo awali ilikulikana Kama DTB fc saivi ni Singida Fc itakayoshiriki ligi daraja la kwanza(championship) msimu wa 2021/2022 imekamilisha usajili wa nyota wakubwa ikiwemo.

Amis Tambwe
David Mwantiaka
Tafazwa kutinyu
Shafiq Batambuzi
Juma Abdul
Nk

Tujiandae kuwaona Vpl mwakani??
Je wataweza kusurvive na mpunga wao?
View attachment 1897918View attachment 1897920
 
Wajiandae pia nje ya uwanja maana ligi daraja la kwanza ni fitina na vibweka tupu
 
Wamwajili Fred Felix Minziro kama kocha,sasa hivi hana timu baada ya kuipandisha Geita Gold Mine FC. Yeye ndo mtaalamu wa ligi hiyo ya Championship
 
Wamwajili Fred Felix Minziro kama kocha,sasa hivi hana timu baada ya kuipandisha Geita Gold Mine FC. Yeye ndo mtaalamu wa ligi hiyo ya Championship
Hivi Why huwa anazipandisha teams halafu huwa wanamtema huyu jamaa?
Siku moja nilimuona anaongea kwa uchungu mnoo.
 
Back
Top Bottom