mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Hapana hii inamilikiwa na DTB
Ila watakuwa Fdl tuwaombee wapandeDah mkuu huyo shafiq batambuzi alikuwa wapi maan nlikuw namkubar sana
Itapendeza kama tutawaona msimu ujao
Hiyo ni timu ya BankKo akiacha uwaziri na timu inashuka daraja
Nikajua inafadhiliwa na mwigulu tenaHiyo ni timu ya Bank
Mbona wameipa jina la singida?Hiyo ni timu ya Bank
Hili halitowezekana Ndugu na hapa ni sawa na kumwambia Israeli Mtoa Roho asiwe anazitwaa mazima Roho za Wanadamu.waondoe uyanga watafanya vizuri
Wampe Ukocha Minziro,ndio Mtaalam wa hiyo LigiWajiandae pia nje ya uwanja maana ligi daraja la kwanza ni fitina na vibweka tupu
Geita Gold wamemtema?Wamwajili Fred Felix Minziro kama kocha,sasa hivi hana timu baada ya kuipandisha Geita Gold Mine FC. Yeye ndo mtaalamu wa ligi hiyo ya Championship
Hivi Why huwa anazipandisha teams halafu huwa wanamtema huyu jamaa?Wamwajili Fred Felix Minziro kama kocha,sasa hivi hana timu baada ya kuipandisha Geita Gold Mine FC. Yeye ndo mtaalamu wa ligi hiyo ya Championship
YeahDavid Mwantika aliwahi kucheza Azam?