Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,053
- 3,259
Hawa jamaa Askari wa usalama barabarani sasa wamehamia Gereji kabisa wanakagua madeni ya magari imekuwa kero kwa mafundi ni kwa vile tu hawana pakusema, wakikuta linadaiwa wanakomaa na fundi muhusika anauelitengeneza.
Kwakweli nimewashuhudia Gereji mara nyingi sana na mafundi wamekuwa wakilalamika sana, sasa sielewi usahihi wa wao kufanya hili.
Kwakweli nimewashuhudia Gereji mara nyingi sana na mafundi wamekuwa wakilalamika sana, sasa sielewi usahihi wa wao kufanya hili.