Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,053
- 3,259
Hebu tuambie askari ukomo wao wa kazi unaishia wapi mzee,
Shida ni Askari Usalama Bararani kugeuzwa Wakusanya Mapato wa serikali, sasa dhana nzima ya Elimu ya Usalama barabarani inakufa, inakuwa Adhabu Za Brabarani na kupangiwa budget ya makusanyo ya mwezi. Hii nchi sijui ilikuwa inapelekwa wapi.1. Dawa ya deni kulipa
2. Hao ni askari wa usalama barabarani sio usalama Garage
3. Tuzingatie sheria na Taratibu ushikwapo barabarani kalipe.
Mwendazake...Shida ni Askari Usalama Bararani kugeuzwa Wakusanya Mapato wa serikali, sasa dhana nzima ya Elimu ya Usalama barabarani inakufa, inakuwa Adhabu Za Brabarani na kupangiwa budget ya makusanyo ya mwezi. Hii nchi sijui ilikuwa inapelekwa wapi.
Na hii inasababishwa na mjinga mmoja au wawili wataka sifa hawajui majukumu yao, pamoja na kuchunguza mfumo wa ajira za TAMISEMI, ndugu yai alipaswa kuzungumzia kero zinazotokana na hawa traffic, wamekuwa waporaji si wezi tena.Shida ni Askari Usalama Bararani kugeuzwa Wakusanya Mapato wa serikali, sasa dhana nzima ya Elimu ya Usalama barabarani inakufa, inakuwa Adhabu Za Brabarani na kupangiwa budget ya makusanyo ya mwezi. Hii nchi sijui ilikuwa inapelekwa wapi.
Usikute ni traffic bandia wamekosa kituo barabarani kuogopa kukamatwa.2. Hao ni askari wa usalama barabarani sio usalama Garage.
Usikute ni traffic bandia wamekosa kituo barabarani kuogopa kukamatwa
Hapo ni sawa na kwenda kumdai aliyelazwa wodiniKwa hiyo askari akijua gari inatatizo na mhusika akaipeleka kuificha garage ( kwa kigezo kwamba ipo garage) wajibu wa askari utaishia wapi? Yani asiikague kisa ipo garage?
Mkuu acha kutukana polisi bila Sababu ya msingi, deni hilo unalipa Kwa control number askari hachukui Hata Kumi hapo.Hao wamezidisha njaa