Said Fela amkabidhi Temba nyumba yake ya pili

Said Fela amkabidhi Temba nyumba yake ya pili

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,296
Reaction score
3,398
Said Fela amemkabidhi Mheshimiwa Temba nyumba yake ya pili. Rapper huyo wa TMK Family, amesema kuwa nyumba aliyokabidhiwa na Fela imepatikana kutokana na mauzo ya kazi zake za muziki ndani ya TMK Family.kPicha aliyoposti Mkubwa Fela na kuandika ujumbe huoTemba amesema kuwa utaratibu huo ulikuwepo toka zamani ambapo kila msanii kutokana na fedha alizoingiza kupitia kazi zake hununuliwa kiwanja au kujengewa nyumba."Huo ni utaratibu ambao tulikuwa nao toka zamani,



attachment.php



"Temba aliiambia Bongo5. "Wakati wapo akina Nature na wasanii wote wa TMK kwamba Mkubwa Fela alikuwa anatusimamia anatuahidi mauzo yatokayouzwa kwenye album alisema atanunua kiwanja na ujenge nyumba,kwahiyo nyumba nimeshajenga lakini kwa usimamizi wake yeye kwa kutumia kazi zangu."

SOURCE: bongo 5
 

Attachments

  • TEMBA.png
    TEMBA.png
    61.6 KB · Views: 3,868
Hongera zake,maana kaka sana kwenye game
 
Nyumba ndo resource ya ukweli kila siku inapanda thamni sio wanakabidhiana sijui gari tena magari yenyewe vitz.
 
Wanaosema muziki haulipi hebu wakuje na hoja zao tudadavue.........
 
Yaani hao akina Fela hadi raha, hizo pesa zingeingia mikononi mwao labda mengi wasingejivunia leo.

Mpango mzuri

Hongera
 
Naomba yimbo zake basi nisikie mie simjui ndo leo.
 
bas Ametisha..but fella amepata mpunga zaidi ya hiyo nyumba
 
whhaaat...?!!humjui tembaaa...
samahani usinifkrie vbaya lakini nakuuliza swali,umeanza lini kuskiliza nyimbo za kibongo?am sorry kwa mara ya pili..!!

Hahahahahah inaelekea hujui kuwa umu upo na wadogo zako...
 
Hongera zake sana Temba, kuna 'wafalme' wengine bado wanapanga:becky:
 
Back
Top Bottom