Said Fella afichua mgombea urais 2015

Said Fella afichua mgombea urais 2015

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
56,205
Reaction score
79,515
Said Fella amejikuta akifichua nia ya January Makamba ya kugombea urais mwaka 2015,amemuhakikishia Salma Jabir kwamba 2015 kijana mwenzao watampa support,yeye (Salma) asubiri ataona.
 
February minyororo anaamini kweli atayaangusha madigala kama Edoo, na kuweza kutamba?
 
Siasa za CCM zimekaa kibongo fleva sana, hawako serious na nchi kabisa, sasa wakina Said Fella waingie ikulu kweli?
 
hicho ndo yeye na wanyonyaji wa bongo flava wanachoombea, akiingia edo au magufuli itakuwa mbaya kwao
maana hawana story nao kama profesa wachina , wameichezea kweli ikulu utawala huu
hata davido alipafomu kwa nguvu ya ikulu
 
Back
Top Bottom