PreGE2025 Said Goha: Mnaowatumia Wapambe Kufanya Kampeni, Kanuni ziko wazi Vikao Vya Uchujaji

PreGE2025 Said Goha: Mnaowatumia Wapambe Kufanya Kampeni, Kanuni ziko wazi Vikao Vya Uchujaji

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa Said Goha alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za CCM Mkoa ambapo alikuwa akijibu swali la mwandishi wa habari aliyeuliza kuwa "ni kweli CCM Imezuia kampeni kabla ya wakati, je CCM inasema nini kuhusu wapambe hao?"

Katibu Goha alieleza kiundani kuwa haiwezekani kikundi cha watu kikawa kinazunguka mtaani kikinadi mtia nia husika bila ya kuwa na ruhusa kutoka kwa mtia nia huyo. Hivyo Chama Cha Mapinduzi kitasimamia kanuni dhidi ya mtia nia huyo kwani ziko wazi.​
 

Attachments

  • CCM IRINGA- MNAOWATUMIA WAPAMBE KUFANYA KAMPENI, KANUNI ZIKO WAZI, VIKAO VYA UCHUJAJI VITAAMUA...mp4
    5 MB
Back
Top Bottom