Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika amemtaka aliyekuwa kada wa chama hicho Said Issa Mohammed kufuata taratibu za kikatiba ili kupata suluhu ya uanachama wake ambao ulifutwa.
Mnyika amesema hayo leo Julai 6, 2026 akiwa nje ya Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam na kueleza kuwa Said ameenda kukishtaki chama kwa Msajili wa Vyama vya Siasa badala ya kukata rufaa ndani ya chama.
Mnyika anaeleza kuwa Ofisi ya Msajili ilikitumia chama barua ikitaka kijieleze na walijibu kuwa Said hajafuata taratibu za rufaa ili kulinda uanachama wake.