Said ni muislamu, anatakiwa atumie muda wake uliobaki hapa duniani ktk kumtumikia muumbabwake badala ya kuikumbatia dunia.Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika amemtaka aliyekuwa kada wa chama hicho Said Issa Mohammed kufuata taratibu za kikatiba ili kupata suluhu ya uanachama wake ambao ulifutwa.
Mnyika amesema hayo leo Julai 6, 2026 akiwa nje ya Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam na kueleza kuwa Said ameenda kukishtaki chama kwa Msajili wa Vyama vya Siasa badala ya kukata rufaa ndani ya chama.
Mnyika anaeleza kuwa Ofisi ya Msajili ilikitumia chama barua ikitaka kijieleze na walijibu kuwa Said hajafuata taratibu za rufaa ili kulinda uanachama wake.
Mpuuzi tu huyo anatumika Kama toilet paperHatari sana na anaonesha ni kwa kiwango kipi "anavyoipenda" CHADEMA.Moyoni atakuwa anajisemea haiishi mpaka iishe!
Atakuambia anapigania "hakhi"!Mpuuzi tu huyo anatumika Kama toilet paper
Hivi Nyahoza bado anaamini ana kete dhidi ya CDM??Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika amemtaka aliyekuwa kada wa chama hicho Said Issa Mohammed kufuata taratibu za kikatiba ili kupata suluhu ya uanachama wake ambao ulifutwa.
Mnyika amesema hayo leo Julai 6, 2026 akiwa nje ya Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam na kueleza kuwa Said ameenda kukishtaki chama kwa Msajili wa Vyama vya Siasa badala ya kukata rufaa ndani ya chama.
Mnyika anaeleza kuwa Ofisi ya Msajili ilikitumia chama barua ikitaka kijieleze na walijibu kuwa Said hajafuata taratibu za rufaa ili kulinda uanachama wake.
Ndiyo bwana akeUnafukuzwa unachama wewe unakimbilia kwa Msajili
Una anzaje kin'gang'anizii sehemu ambayo hutakiwi..Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika amemtaka aliyekuwa kada wa chama hicho Said Issa Mohammed kufuata taratibu za kikatiba ili kupata suluhu ya uanachama wake ambao ulifutwa.
Mnyika amesema hayo leo Julai 6, 2026 akiwa nje ya Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam na kueleza kuwa Said ameenda kukishtaki chama kwa Msajili wa Vyama vya Siasa badala ya kukata rufaa ndani ya chama.
Mnyika anaeleza kuwa Ofisi ya Msajili ilikitumia chama barua ikitaka kijieleze na walijibu kuwa Said hajafuata taratibu za rufaa ili kulinda uanachama wake.
Ingefaa aungane na mwenzake Muasisi wa Kundi la Kigaidi la Mbwa Mwitu Shehe Mwaipopo.Said ni muislamu, anatakiwa atumie muda wake uliobaki hapa duniani ktk kumtumikia muumbabwake badala ya kuikumbatia dunia.
Mwaipopo hana kikundi. Ni comedy tu zileIngefaa aungane na mwenzake Muasisi wa Kundi la Kigaidi la Mbwa Mwitu Shehe Mwaipopo.
Tena kwa kwa zilivyo akili mbovu za Saidi anaweza kuukwaa Ukatibu Mkuu wa Mbwa Mwitu