Rais Wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, viongozi mbalimbali pamoja na wananchi kwa ujumla wameombwa kujitokeza kumchangia Said Mikidadi anayesumbuliwa na uvimbe mkubwa ili apate matibabu na kuokoa maisha yake.
Said Mikidadi, anakabiliwa na tatizo la uvimbe linalohitaji kufanyiwa upasuaji wa haraka nchini India, huku gharama za matibabu zikifikia shilingi milioni 40.
Msaada unaweza kutolewa kupitia namba ya kaka yake Jundani Mikidadi 0672 672 666, Tigo Pesa 0710 434416 au NMB 20310131829, au kulipia moja kwa moja Hospitali ya Apollo India.