Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wala hawakuangalia clean sheet zake za Mtibwa sugar .
Yaani ni kwamba Manula wa Azam ni kipa mbovu , hafai kuwa namba 1 wa stars , hata kama ana sura nzuri .
Tulipiga kelele na tutaendelea kupiga kelele hadi wachezaji wazuri tu ndio wapewe namba .Mbona said Mohammed "Nduda" ni mchezaji halali wa simba. Huwez mfananisha na manula na wala sidhani Kama mtoa mada umemfatilia Said kwa zaidi ya mechi 3, Kama cjasahau vzr huyu ndo yule alikula 5 ck ile ya watani wa jadi. Afu hata cjaona kocha Kama anapangia majina. Kiungo Rafael daud wa mbeya city anacheza kikos cha kwanza, nurdin shona wa majimaji, boniphas maganga wa mbao na stamili mbonde wote hawa wanacheza na wala hawajatokea tm kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Manula amehamia timu yako ya mchanganiYaani ni kwamba Manula wa Azam ni kipa mbovu , hafai kuwa namba 1 wa stars , hata kama ana sura nzuri .
Ni hayo tu .
Usajili wa kijinga sana inafanya simba , eti Huyu na Boko ndio usajili bora !Manula amehamia timu yako ya mchangani