Said Mohamed apewe namba 1 Taifa Stars

Said Mohamed apewe namba 1 Taifa Stars

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Utaratibu wa timu yoyote ile duniani ni kuchezesha wachezaji mahiri , hii ndio njia pekee ya kuzishinda timu zingine na kutwaa makombe .

Lakini hali ni tofauti katika nchi ya Tanzania , hapa wachezaji wazuri wanaochezea timu za mikoani hawapewi nafasi , bali wachezaji wabovu wanaocheza Simba , Yanga ama Azam ndio hupewa nafasi , kwa visingizio lukuki visivyo na kichwa wala miguu .

Hakuna sababu yoyote ile , hata ya kijinga ya Manula kuwa Golikipa namba moja wa Taifa Stars .
 
Mbona said Mohammed "Nduda" ni mchezaji halali wa simba. Huwez mfananisha na manula na wala sidhani Kama mtoa mada umemfatilia Said kwa zaidi ya mechi 3, Kama cjasahau vzr huyu ndo yule alikula 5 ck ile ya watani wa jadi. Afu hata cjaona kocha Kama anapangia majina. Kiungo Rafael daud wa mbeya city anacheza kikos cha kwanza, nurdin shona wa majimaji, boniphas maganga wa mbao na stamili mbonde wote hawa wanacheza na wala hawajatokea tm kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulipiga kelele na tutaendelea kupiga kelele hadi wachezaji wazuri tu ndio wapewe namba .
 
Manula amehamia timu yako ya mchangani
Usajili wa kijinga sana inafanya simba , eti Huyu na Boko ndio usajili bora !

Usijali mkuu , niko mbioni kutwaa madaraka , lazima niende polepole maana hawachelewi kubambika nimetakatisha hela .
 
Back
Top Bottom