Said Salim Bakhresa akamata nafasi ya 30 katika orodha ya watu matajiri 40 barani Afrika – Forbes

Said Salim Bakhresa akamata nafasi ya 30 katika orodha ya watu matajiri 40 barani Afrika – Forbes

We uanaambiwa alikatisha masomo akiwa na umri wa miaka 14, sasa hapo unaweza ukagundua kabisa kuwa alianza ujasirimali baada ya kumaliza darasa la 7 au aliacha shule akiwa form 1.

hivyo hana cv kinyume na hapo cv yake ni historia ya utajiri wake.
 
alianza na urojo zanzibar
akauza pumba
akaanza kutengeneza packking bags
akasindika vyakula
akanza kuuza unga ,chapati icecream
sasa anauza mpaka vinywaji vyake vyenye gas kali na formula isiyoeleweka
hii ndio cv yake
 
aliwahi kutoa 200mil kusaidia watu waliopata njaa tanzania 2006,kwa ushaidi alimkabidhi rais kikwete ikulu.
sasa wewe unataka aonekane kama kina mengi kulisha ubwabwa mayatima
 
Back
Top Bottom