Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha Wakulima (AAFP) Said Soud, amekiaasa chama cha ACT Wazalendo kuacha kuhamasisha fujo kwa kisingizio cha kura ya mapema kwani kufanya hivyo ni kuonesha kwamba wana uchu wa madaraka.
Pia Said Soud amewaambia ACT WAZALENDO hawana nuwezo wa kuitoa CCM madarkani hivyo AAFP itakuwa miongoni mwa chama ambacho kitakubali kumpa ushirikiano mgombea wa Urais Dk. Hussein Ali Mwinyi kwani ana kila sababu ya kushinda nafasi hiyo