DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Alliance for African Farmers Party, Said Soud, ameendelea na kampeni zake huku akiahidi kwamba vikosi vya SMZ vitashirikishwa katika kilimo cha nazi na karafuu ili kuongeza uzalishaji na kukuza uchumi wa Zanzibar.
Pia Soma: GE2025 - Said Soud Said Mgombea Urais AAFP Zanzibar: Nikiwa Rais Vijana watalima bangi na si kuokota Makopo
Pia Soma: GE2025 - Said Soud Said Mgombea Urais AAFP Zanzibar: Nikiwa Rais Vijana watalima bangi na si kuokota Makopo