Saida Kalori apata ajali mbaya Bukoba!

UPDATE
Taarifa ambazo nimepokea kutoka kwa Bw will ruta maarufu kama Will kiroyera ambaye ndiye mmiliki wa gari lililohusika na ajali na ambaye ni mmoja wa wahusika wa shoo hiyo amenieleza kwamba Saida karoli amepata majeraha kidogo na kwamba shoo ya Usiku itaendelea kama kawaida,ila papa kishaju bado huyo hospitali ya mkoa wa kagera kwa matibabu.

jioni njema
 
CloudsFm na genge lao waharibifu sana huyu mama angekuwa mbali kama si mabaradhuli haya kumdhulumu.

Hata la huyu Mama Saida Kalori,clouds wanahusika?? Yeye si alikuwa chini ya Mzee Felician Muta?
 
Can u prove that sababu mimi sikumbuki kuleta hiyo mada bwa mdogo

Real u cant remember,
but u did it!
afu tuheshimiane nani kakwambia mi bwa mdogo?
bwa mdogo mfuko wa nyuma!
 
Mwenyenzi MUNGU mwingi wa Rehema na awape nguvu majeruhi wote na wapone mapema.
 
Ninachojua ni kuwa saida kashavuta tangu miezi miwili iliopita.
 
Nilivyo na evil mind, nilishataka kuhusisha hili na wimbo wake kutumika kwenye movie ya marekani.

Kupunguza mtafaruku wa kugawana mapato, one has to leave. My bad!
 
Pole saida Karoli, Linaz Club ni home ground kwangu nikiwa bukoba.
Pale Linaz club zinapigwa ngoma acha kabisa!! Pamoja sana dada yangu Saida.
 
Hiki kigongo cha Kashura nakumbuka those days 2000 mwanzoni ndio nilikuwa naanza kazi yaani nilikuwa sichagui pa kulala kisa ku-save na kila nikienda BK nilikuwa nalala kuna hostel za KKKT ambazo zilikuwa affordable kwa wazee wa ku-save, kwa jinsi kigongo kilivyo kikali nilikuwa napanda kwa miguu maana enzi hizo bodaboda ndio ulikuwa usafiri wa watu wengi BK na ulikuwa bado haujasambaa sehemu zingine nchini zaidi ya Bukoba, ilikuwa wakikudondosha wanasepa
 
Mathias Byabato uko makini sana! Huyo dada amepata misukosuko na kuzushiwa sana, hope MUNGU ataendelea kumpa nafasi ya kuwaburudisha watu wake (Mungu).
 
Last edited by a moderator:
Naona Israeli anamnyemelea huyu dada, mwezi wa juzi tu hapa walimtangaza amekufa nasasa tena amekumbwa na ajali... Mungu amuepushie hayo mabalaa jamani!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…