Saida Kalori apata ajali mbaya Bukoba!

Saida Kalori apata ajali mbaya Bukoba!

Hiki kigongo cha Kashura nakumbuka those days 2000 mwanzoni ndio nilikuwa naanza kazi yaani nilikuwa sichagui pa kulala kisa ku-save na kila nikienda BK nilikuwa nalala kuna hostel za KKKT ambazo zilikuwa affordable kwa wazee wa ku-save, kwa jinsi kigongo kilivyo kikali nilikuwa napanda kwa miguu maana enzi hizo bodaboda ndio ulikuwa usafiri wa watu wengi BK na ulikuwa bado haujasambaa sehemu zingine nchini zaidi ya Bukoba, ilikuwa wakikudondosha wanasepa

Aisee!!!!!!
 
Warudi kumpa utukufu Mungu kwa kumwimbia Haleluya haleluya!
Pole yao pia....!

Mungu anahitaji utekeleze yalio mema na uache maovu.hayo mambo kuimba na kucheza ngoma makanisani sizani kama yesu alifanya au kuamuru mambo hayo.
 
Pole kwao. Nini chanzo cha ajali?

Mmh nawewe punguza uvivu wa kusoma, yani mtu kaeleza very short and clear ila hutaki kusoma labda ungefanya upate namba yake ya simu akuelezee vizuri
 
For promotional use only
=====================
Ukipata Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa
=====================
 
Mara AJari Mbaya then kaumia kidogo?
 
Huyo ndio mtoto wa mkuu au


Ndo walewale tu, yaani huyo Ritz Kama isingekuwa Gesi ya mtwara, parapanda ingekuwa imeshalia kule china.

naskia marmo alipiga cm huku analia Ucku wa manane, mtoto wa mkulu ameshikiliwa.
 
Back
Top Bottom