SAIDA KALORI ATAPELIWA PESA ZA WIMBO WA SALOME NA MENEJA WAKE

Eddy Love

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
13,654
Reaction score
8,564
Baada ya Diamond kufanya marejeo ya wimbo wa Salome wa Dada Saida kalori.Uongozi wa Diamond uliamua kumlipa meneja wa Saida kalori kiasi cha shilingi milioni 25 huku Dada Saida kalori akiambulia pesa kiduchu sana,Dada Saida karoli anajiandaa kupeleka kesi mahakamani dhidi ya unyonyaji wa meneja wake

source:MWANANCHI
 
Kisheria
Haja nyonywa mmiliki wa
wimbo ni meneja.
Kisheria Saida karoli hana iliki wa huo wimbo huo , kwa hiyo hata alicho pata ni fadhila tuu ya uyo jamaa. Na jamaa anakuwaga na njaa kweli naskia
Kibinadamu
Huyo mzee haja fanya poa, mwenzake aliumoza kichwa akatunga, ingefaa naye apate gawoio kubwa kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…