Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Huyu mama kweli ni legend. Apewe heshima yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo umemsingizia. ALikutana na mameneja wapigaji sana hapa mjini, ndio sababu wameua kipaji chake. Diamond alijitahidi kumuinua hapa kati lkn mambo hayakwenda vizuri sanaIla tatizo alikuwa anagawa sana kipochi manyoya
Na wewe alikugawiaIla tatizo alikuwa anagawa sana kipochi manyoya
Kama dadayakoIla tatizo alikuwa anagawa sana kipochi manyoya
Akome kuandika takataka kwenye mambo seriousKama dadayako
Hajielewi huyu, kila mwanamke anagawaAkome kuandika takataka kwenye mambo serious
dah, nimesikitishwa sana na habari hii. mungu amjaalie dada yule, ameniachia kibao kinachoniburudisha mnoTuko naye huku bk, kajichokea ile mbaya
Kwa ubora wa ile NYIMBO huyu mama akustahiri kuishi maisha hayo ile nyimbo ilikuwa utajiri mkubwa kwakeTuko naye huku bk, kajichokea ile mbaya
Naunga mkono hoja.Huyu ni mwanamama shupa vutoka BUKOBA INTERNATIONAL CITY aliyetikisa dunia kwa nyimbo na miondoko yake adimu. Ametuletea heshima kubwa kama taifa. Tafadhali, Universities mtunukuni Honorary Doctorate kuthamini mchango wake.
KasingeWakora waitu
kwa wale watoa mimba maarufu ngoja niwasikilizishe!Wimbo wa kaisiki ulikuwa mtam sana
SUKAH
KabisaAlifanya vyema Sana tusisubuli afariki tumpe heshima yake..
😀 😀 😀 😀 akina bunyero sio? Hapa huwaoniWale wa inama nisafishe mtaro hautawaona hapa watakwambia hana views YouTube