Saida karoli hajafariki

Saida karoli hajafariki

Joined
Mar 5, 2009
Posts
95
Reaction score
32
Wadau kumekuwa na habari ambayo hadi sasa inasambazwa kwa kasi kuwa Saida Karoli alifariki jana katika ajali ya boti, lakini habari za kuaminika kutoka kwa jamaa zake pamoja na wasimamizi wa kazi zake Tivol Studio ya Mwanza zinasema ni mzima wa afya na anaendelea na shughuli zake kama kawaida.
 
kama nia ya aliyeleta habari hii ilikuwa ni makusudi basi yeye mwenyewe na arestishwe in peace - 'R.I.P'we
 
Mjengwa Blog cjui kaitoa wapu hii habari. Mimi nimesoma huko.
 
Mchawi si lazima awe anavaa tunguli. Hata aliyeanzisha habari hii ni mchawi tu!
 
haya mambo ya kuwahi kuwa wa kwanza kutoa taarifa,
pole Saida
 
Mjengwa Blog cjui kaitoa wapu hii habari. Mimi nimesoma huko.

huyu jamaa mjengwa kawapotosha watu wengi. Nadhani ataifuta habari yake. Hivi blog yake haina wadhamini? Inakuwaje uongo mchana kweupe?
 
Back
Top Bottom