Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,581
Yote kwa yote,pia si vibaya next time Diamond akafanya nae collabo, la 2 Diamond anaweza kumsainisha kwenye lebo yao then huyu dada akawa anapafom ngoma za kiasili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes, thanks kwa kunirekebisha.
Yote kwa yote,pia si vibaya next time Diamond akafanya nae collabo, la 2 Diamond anaweza kumsainisha kwenye lebo yao then huyu dada akawa anapafom ngoma za kiasili.
Mkuu, sijamchafua mtu maana Rwegasira ni jina litumiwalo na watu wengi.Nenda kaedit sasa unangoja nini??
Kuchafuana tu....hahaha!
Mi naamini Team WCB wanapita hapa na watayabeba haya mawazo ili kuboresha zaidi biashara zao za kimuziki....Ila ukweli kama WCB itataka kusain mkataba na mwanamuziki wa kike,wamuangalie huyohuyo Chambua kama karangaWell said, amwambie Saida a stick kwenye ngoma za asili siyo kuchanganya kiarabu asije akajiaribia tena, wimbo wa hivi karibuni wa Diamond angeshirikisha Saida kwenye Vocal na ngoma kwa mbali ingenoga zaidi - Saida ana sauti ambayo ni unique kabisa inaradana na ya Diamond mwenyewe, Lionel Richie, Bill Ocean, marehemu Fred Mercury ,M.Jackson na Shakira.
Kitu kingine ambacho Diamond anapashwa kukumbuka ni kwamba: Saida ana vipaji vingi vikiwemo - Sauti vile vile kutunga nyimbo ingawa elimu yake siyo kubwa sana lakini kimziki anajua kijipanga vizuri kivocal, ngoma na za zana nyingine za mziki, Diamond anacho pashwa kufanya ni ku-refine hapa na pale utunzi wa Saida. Siyo kwamba labda nataka kumpamba Saida - hapa! Lakini kwa wale tuonao fahamu maneno yote ya kilugha anacho imba ubaki tunajiuliza maswali mengi, hivi huyu Saida maneno haya yote yakuchekesha sana uyaibua wapi? Ana kipaji sana.
unamaanisha nini kusema aache kuishi kishetaniMapromota wezi walimmaliza dada huyu, Diamond Mungu ambariki angalau dada wa watu aache kuishi kishetani
Utamuelewa tu taratibuSimkubali diamond ila kwa pini lile aaaaah nimekua mshabiki wake kwa mkopo tu
Hahahahhhh nimekusomaMungu ambariki Diamond aliweza kumrudisha Ali Kiba na kumeleka kimataifa kwny game na sasa kamrudisha Saida Karoli
Naona kama sasa imekua nongwa....zigo lote hilo abebeshwe diamond kisa tu kurudia wimbo wa saida.Well said, amwambie Saida a stick kwenye ngoma za asili siyo kuchanganya kiarabu asije akajiaribia tena, wimbo wa hivi karibuni wa Diamond angeshirikisha Saida kwenye Vocal na ngoma kwa mbali ingenoga zaidi - Saida ana sauti ambayo ni unique kabisa inaradana na ya Diamond mwenyewe, Lionel Richie, Bill Ocean, marehemu Fred Mercury ,M.Jackson na Shakira.
Kitu kingine ambacho Diamond anapashwa kukumbuka ni kwamba: Saida ana vipaji vingi vikiwemo - Sauti vile vile kutunga nyimbo ingawa elimu yake siyo kubwa sana lakini kimziki anajua kijipanga vizuri kivocal, ngoma na za zana nyingine za mziki, Diamond anacho pashwa kufanya ni ku-refine hapa na pale utunzi wa Saida. Siyo kwamba labda nataka kumpamba Saida - hapa! Lakini kwa wale tuonao fahamu maneno yote ya kilugha anacho imba ubaki tunajiuliza maswali mengi, hivi huyu Saida maneno haya yote yakuchekesha sana uyaibua wapi? Ana kipaji sana.
MAMA WAKATI WAKO UMEKWISHA.. HAUWEZI KUWAKA KAMA JUA. KWA SASA UKIJITAHIDI KUWAKA SANA UTAWAKA KAMA TOCHI..WAKATI NI UKUTA.Msanii wa nyimbo za asili Saifa Karoli aliyevuma kitambo amefunguka na kusema kuwa kitendo cha msanii Diamond Platnumz kurudia moja ya kazi yake anajihisi kuzaliwa upya.
View attachment 404280
Saida Karoli
Saida Karoli ambaye aliwahi kufanya vizuri na nyimbo kama"Mapenzi kizunguzungu,Kaisiki,Maria Salome na nyingine kibao na alifanikiwa kilele soko la Afrika Mashariki kwa nyimbo hizo na kujipatia umaarufu mkubwa mwanzoni mwa miaka ya 2000.
Said a Kalori amesikika kwenye clip ambayo ameipost Diamond Platnumz kwenye mitandao yake ya kijamii na kusema kuwa mwanzoni waandishi wa habari walisha msahau walikuwa hawanfuatilii tena,laki I hata baadhi ya watu pamoja na ndugu zake walikua waliambiwa kuwa amekufa lakini baada ya kazi ya Diamond Platnumz kutoka imemrejesha watu kwenye himaya take kwani wameanza kumtafuta na Kumpigia simu sana.
"Mimi nimejisikia vizuri hii kazi tunayofanya ni kwa ajili ya mashabiki,mashabiki ndiyo wadau wetu wanaotufanya sisi,tuwe juu kwa hiyo si kazi ya kwangu Mimi peke yangu,ila Mimi kama Mimi,nimejisikia vizuri kusikiliza kwa sababu hata vyombo vya habari vilinisahau Leo hii vinanitafuta,haya ndugu zangu baadhi na wengine wanajua hata siko duniani wanajua nilishakufa lakini Leo hii naona watu mbalimbali wananitafuta kweli nimefunguka najihisi kuzaliwa upya" alisikika Saida Kalori.
Chanzo:East Africa Television (EATV)
Naona kama sasa imekua nongwa....zigo lote hilo abebeshwe diamond kisa tu kurudia wimbo wa saida.
Akimsaidia sio mbaya kama uwezo unaruhusu ile isiwe masharti sasa.