ooh bibi pole wakati wako umekwisha ndivyo maisha yalivyo.. endelea kupiga mziki kwenye harusi, send off, ubarikio, na graduations za sekondary.. ndio riziki yako mola aliyokupangiaSaida Karoli anaogopa kugusa hata jani, akidhani
ni nyoka anayetaka kumng’ata
View attachment 412452
Ni kwasababu licha ya kufanya vizuri kimuziki
miaka kadhaa iliyopita, hakupata chochote na
bado anaishi katika mazingira magumu.
“Niliumizwa kuanzia mwanzo, ni vitu vichache
nilivyovipata, kama mkibahatika waandishi wa
habari wenye makamera na wakija kwangu
watashuti kulingana na nilivyo, wataona
mazingira ninayoishi ndipo watanzania watazidi
kufunguka zaidi,” Saida alimwambia mtangazaji
wa Jembe FM, Natty E.
Kwa sasa Saida Karoli anaishi jijini Mwanza. Hivi
karibuni amerejea tena kwenye midomo ya watu
baada ya Diamond kurudia wimbo wake Salome.
hapo MR NICE usimueke kayataka mwenyewe ebzii hizo yupo na mpunga nilikuwa namjua nje ndani tatizo lake akuwekeza katika VITEGA UCHUMI yeye aliwaza atakuwa juu siku zotee hata wasanii wa marekani kabla hakujaingia mfumo kuuza kwa internet kazi zao walipokuwa wakitoa album na kuuza copy nyingi ama nyimbo ikiwa hit wakawa na show nyingi walikuwa hawatumii pesa hovyo walikuwa wanaingiza katika vitega uchumi na kununua aset nyingi zikiwemo nyumba za gharama nkSaida Kalori
Mr Nice
Ferooz
Daz Baba
Chid Benz n.k
Hawa wasanii wanatoa funzo kubwa kwa hawa wasanii wachanga.
Hawakutakiwa kuwa ni wasanii wa kuishi maisha ya namna hiyo tuyasikiayo na hii nadhani sababu ya Elimu.
Big Up kwa AY, PRO JAY, MWANA FA Elimu yao kidogo walioipata imeweza kuwasaidia katika kuundeleza Muziki wao na Mavuno yao.
halidi na felemoni walipendana mapenzi yao yakadumuuu....mwenye wivu ajinyonge kweli mwenye wivu ajinyonge[emoji95] [emoji95]Saida Karoli anaogopa kugusa hata jani, akidhani
ni nyoka anayetaka kumng’ata
View attachment 412452
Ni kwasababu licha ya kufanya vizuri kimuziki
miaka kadhaa iliyopita, hakupata chochote na
bado anaishi katika mazingira magumu.
“Niliumizwa kuanzia mwanzo, ni vitu vichache
nilivyovipata, kama mkibahatika waandishi wa
habari wenye makamera na wakija kwangu
watashuti kulingana na nilivyo, wataona
mazingira ninayoishi ndipo watanzania watazidi
kufunguka zaidi,” Saida alimwambia mtangazaji
wa Jembe FM, Natty E.
Kwa sasa Saida Karoli anaishi jijini Mwanza. Hivi
karibuni amerejea tena kwenye midomo ya watu
baada ya Diamond kurudia wimbo wake Salome.
Saida Kalori
Mr Nice
Ferooz
Daz Baba
Chid Benz n.k
Hawa wasanii wanatoa funzo kubwa kwa hawa wasanii wachanga.
Hawakutakiwa kuwa ni wasanii wa kuishi maisha ya namna hiyo tuyasikiayo na hii nadhani sababu ya Elimu.
Big Up kwa AY, PRO JAY, MWANA FA Elimu yao kidogo walioipata imeweza kuwasaidia katika kuundeleza Muziki wao na Mavuno yao.
Ivi kiba ni kijana halafu hadi leo anaishi n wazazi wke k'koo anafanikio gani ya kupitia mzikiHuyu Dada na wasanii wenzake wengi wa kipindi cha nyuma wanaishi maisha ya chini kwasababu kipindi wao wanafanya mziki walikuwa hawauchukulii mziki Kama kazi zinazoweza kuwalipa wakawa wanabweteka na umaarufu na pesa kidogo walizokuwa wanapata sasa wanaona hawa vijana wakina alikiba wanatumia fursa ya mziki vizuri kupiga pesa ndo na wao wanashtuka wanaanza kutoa lawama kwa watu!
Hivi chidbenx nae ni msanii wa zamani?Saida Kalori
Mr Nice
Ferooz
Daz Baba
Chid Benz n.k
Hawa wasanii wanatoa funzo kubwa kwa hawa wasanii wachanga.
Hawakutakiwa kuwa ni wasanii wa kuishi maisha ya namna hiyo tuyasikiayo na hii nadhani sababu ya Elimu.
Big Up kwa AY, PRO JAY, MWANA FA Elimu yao kidogo walioipata imeweza kuwasaidia katika kuundeleza Muziki wao na Mavuno yao.
Shida ni kwamba saida alikuwa hana hatimiliki ya nyimbo zake so hata mrabaha ukiingia hauendi kwake moja kwa moja
Shida ni kwamba saida alikuwa hana hatimiliki ya nyimbo zake so hata mrabaha ukiingia hauendi kwake moja kwa moja