Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,105
- 5,629
Alikiba nae c wa kitambo kaka au kaanza lini mzikiHuyu Dada na wasanii wenzake wengi wa kipindi cha nyuma wanaishi maisha ya chini kwasababu kipindi wao wanafanya mziki walikuwa hawauchukulii mziki Kama kazi zinazoweza kuwalipa wakawa wanabweteka na umaarufu na pesa kidogo walizokuwa wanapata sasa wanaona hawa vijana wakina alikiba wanatumia fursa ya mziki vizuri kupiga pesa ndo na wao wanashtuka wanaanza kutoa lawama kwa watu!
Wakitambo na bado anafanya vizuri sana!Alikiba nae c wa kitambo kaka au kaanza lini mziki
Unaweza usiwe na hakimiliki lakini mrahaba bado ukapata! Tatizo la msingi ni waliokuwa wanamsimamia kutofahamu msanii wao anatakiwa kupata nini kwenye mkataba husika. Kati ya Saida Karoli na Mzee Mutta palitakiwa awepo mtu anayeangalia maslahi ya Saida... huyu ndie Meneja wa Saida ingawaje kwa hapa unaweza kukuta meneja wake mwenyewe alikuwa mkono wa kuume wa Mzee Mutta!Shida ni kwamba saida alikuwa hana hatimiliki ya nyimbo zake so hata mrabaha ukiingia hauendi kwake moja kwa moja
Dah kweli ile ngoma ni one of all time ya ngoma za TZ haichuji kama hzi ngoma za wasanii wetu wenye teamsPole zake, binafsi naikubali sana ile ngoma aliyoifanya na banana zoro
Atii?Ivi kiba ni kijana halafu hadi leo anaishi n wazazi wke k'koo anafanikio gani ya kupitia mziki