Saidi Miraji: CCM ikipunguza mkosa upinzani nchini Tanzania utakosa sera

Saidi Miraji: CCM ikipunguza mkosa upinzani nchini Tanzania utakosa sera

carbohydates

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2026
Posts
260
Reaction score
607
Mwalimu Julius Nyerere alisema Vyama vya upinzani vinawekeza kutokana na mapungufu ya CCM na siku CCM Ikipunguza kufanya makosa baadhi ya Vyama vitakosa sera. Alikuwa akisisitiza sana Vyama vijikite katika kutengeneza sera. Ukichunguza Vyama vya NCCR MAGEUZI, CUF, CHADEMA wengi wamepata nguvu baada ya kuwa wanaikosoa sana Serikali ya Chama Cha Mapinduzi CCM"

Ameyasema hayo wakati akifanya mahojiano na chombo cha habari cha Clouds

Mwanaharakati anatakiwa kuwa Mzalendo. Anapopambania jambo linatakiwa kuwa kwa ajili ya maslahi ya walio wengi na ustawi wa Jamii yake.

Pia mwanaharakati anatakiwa kuwa jasiri. Pia anatakiwa kuwa mtu mwenye uwezo wa kushawishi kwa hoja. Na pia kuna mstari mwembamba kuwa mwanaharakati na mwanamapinduzi. Unaweza ukajikuta unatoka kwenye uanaharakati na kuwa mwanamapinduzi"

Mwanaharakati anatakiwa kuwa Mzalendo. Anapopambania jambo linatakiwa kuwa kwa ajili ya maslahi ya walio wengi na ustawi wa Jamii yake.

Pia mwanaharakati anatakiwa kuwa jasiri. Pia anatakiwa kuwa mtu mwenye uwezo wa kushawishi kwa hoja. Na pia kuna mstari mwembamba kuwa mwanaharakati na mwanamapinduzi. Unaweza ukajikuta unatoka kwenye uanaharakati na kuwa mwanamapinduzi

Chanzo : Mahojiano na Clouds
 
Back
Top Bottom