HahahJina lake la ubatizo/kusilimu aliandikwa ni RC?Atumie akili.
? Kumla mumeo?Wewe kwenda zako!
Ana kiburi na ujeuri sana! Hata alivyoenda kama mteja Kwa jamaa anaelalamika kuwa alipaki sehemu ya Mkurugenzi wa kampuni, angepaki TU kawaida halafu akiondoka watu watasema mkuu wa Mkoa ni mstaarabu! Ila Lina madharau ya kijinga sana na ubabe wa hovyo sana!Inaweza kuwa ni kweli huyu jamaa ndo zake! Leo kahojiwa nawaandishi akiulizwa kwanini alivamia mazoezi ya simba ..akajibu hatakiwi kuhojiwa hilo swali kwasababu alikuwa anakagua kwenye mji wake (mkoa wa mwanza).
Pia jamaa anasema alienda uwanjani kama mlezi wa timu ya Pamba!
Swali; kama alikwenda kama mlezi kwanini alikwenda na mitutu ya bunduki na misafara!
Kwanini hajakwenda kimpira mpira? Kwanini akamate watu na kuhoji!?
Kuna harufu ya utumiaji madaraka vibaya
Sawa kabisa!Na mkichwa wake ule kama madenge
Si tulipendekeza hivi vyeo vifutweSitashangaa sana popote napomuona Said Mtanda akivunja utaratibu wa wazi!
Huyu jamaa alishawahi kuja ofisini kwetu kutaka huduma kama mteja!
Kwanza kabisa alikataa kupaki gari yake sehemu ya wateja wa kawaida bali alilazimisha walinzi apite akapaki sehemu ya mkurugenzi!
Pamoja na hayo vielelezo hakuwa amekamilisha lakini alijitambulisha yeye kama RC ataftiwe ufumbuzi nje ya utaratibu!
Hivyo siwezi kushangaa nikiona popote huyu jamaa kavunja utaratibu!
Anapenda sana kutumia madaraka yake hata akiwa nje ya mkoa wa Mwanza!
Another fool, unafikiri kila mtu baba yàke yuko kijijini anakula michembe kama baba yako? Sisi wengine ndo akina baba.Huu muda wa kumpiga majungu mwanaume mwenzio ungetumia kumtumia baba yako pesa huko kijijini ili aache kula michembe
Na wabongo wengine mnapenda sana kujaza ujuaji hata pasipostahiliWabongo wengi mnapenda sana majungu na umbea. Haya mnatuambia baada tu ya kuingilia maslahi yenu bila shaka.
We Said Mtanda tulia unaambiwa ukweli nani akupige majunguHuu muda wa kumpiga majungu mwanaume mwenzio ungetumia kumtumia baba yako pesa huko kijijini ili aache kula michembe
Huu muda wa kucomment kwenye uzi wa majungu aka kupiga umbea, ungeutumia pia kutuma pesa kwa baba ako huko kijijini aache kula michembe pia...au wewe umeishatuma ndo maana unapiga majungu humu?.Huu muda wa kumpiga majungu mwanaume mwenzio ungetumia kumtumia baba yako pesa huko kijijini ili aache kula michembe
Utopolo, utamtambua tu!Wabongo wengi mnapenda sana majungu na umbea. Haya mnatuambia baada tu ya kuingilia maslahi yenu bila shaka.
We mwanamke sijawahi kukuelewa.Wabongo wengi mnapenda sana majungu na umbea. Haya mnatuambia baada tu ya kuingilia maslahi yenu bila shaka.
Hivi unajua Mkuu wa Mkoa ni nani katika mkoa wake?Sitashangaa sana popote napomuona Said Mtanda akivunja utaratibu wa wazi!
Huyu jamaa alishawahi kuja ofisini kwetu kutaka huduma kama mteja!
Kwanza kabisa alikataa kupaki gari yake sehemu ya wateja wa kawaida bali alilazimisha walinzi apite akapaki sehemu ya mkurugenzi!
Pamoja na hayo vielelezo hakuwa amekamilisha lakini alijitambulisha yeye kama RC ataftiwe ufumbuzi nje ya utaratibu!
Hivyo siwezi kushangaa nikiona popote huyu jamaa kavunja utaratibu!
Anapenda sana kutumia madaraka yake hata akiwa nje ya mkoa wa Mwanza!
Mume gani tena!?Niende wapi
? Kumla mumeo?
Mume wako alif kifungilo mushiMume gani tena!?
Uyo ni mganga njaaSitashangaa sana popote napomuona Said Mtanda akivunja utaratibu wa wazi!
Huyu jamaa alishawahi kuja ofisini kwetu kutaka huduma kama mteja!
Kwanza kabisa alikataa kupaki gari yake sehemu ya wateja wa kawaida bali alilazimisha walinzi apite akapaki sehemu ya mkurugenzi!
Pamoja na hayo vielelezo hakuwa amekamilisha lakini alijitambulisha yeye kama RC ataftiwe ufumbuzi nje ya utaratibu!
Hivyo siwezi kushangaa nikiona popote huyu jamaa kavunja utaratibu!
Anapenda sana kutumia madaraka yake hata akiwa nje ya mkoa wa Mwanza!
Ni mambo ya aibu kweli kweli,