Saidi Mtanda huwa hapendi kufuata utaratibu, alishawahi kuja ofisini kwetu akapaki sehemu ya mkurugenzi wakati alikuja kama mteja

Saidi Mtanda huwa hapendi kufuata utaratibu, alishawahi kuja ofisini kwetu akapaki sehemu ya mkurugenzi wakati alikuja kama mteja

Inaweza kuwa ni kweli huyu jamaa ndo zake! Leo kahojiwa nawaandishi akiulizwa kwanini alivamia mazoezi ya simba ..akajibu hatakiwi kuhojiwa hilo swali kwasababu alikuwa anakagua kwenye mji wake (mkoa wa mwanza).
Pia jamaa anasema alienda uwanjani kama mlezi wa timu ya Pamba!

Swali; kama alikwenda kama mlezi kwanini alikwenda na mitutu ya bunduki na misafara!
Kwanini hajakwenda kimpira mpira? Kwanini akamate watu na kuhoji!?
Kuna harufu ya utumiaji madaraka vibaya
Ana kiburi na ujeuri sana! Hata alivyoenda kama mteja Kwa jamaa anaelalamika kuwa alipaki sehemu ya Mkurugenzi wa kampuni, angepaki TU kawaida halafu akiondoka watu watasema mkuu wa Mkoa ni mstaarabu! Ila Lina madharau ya kijinga sana na ubabe wa hovyo sana!
 
Sitashangaa sana popote napomuona Said Mtanda akivunja utaratibu wa wazi!

Huyu jamaa alishawahi kuja ofisini kwetu kutaka huduma kama mteja!

Kwanza kabisa alikataa kupaki gari yake sehemu ya wateja wa kawaida bali alilazimisha walinzi apite akapaki sehemu ya mkurugenzi!

Pamoja na hayo vielelezo hakuwa amekamilisha lakini alijitambulisha yeye kama RC ataftiwe ufumbuzi nje ya utaratibu!

Hivyo siwezi kushangaa nikiona popote huyu jamaa kavunja utaratibu!

Anapenda sana kutumia madaraka yake hata akiwa nje ya mkoa wa Mwanza!
Si tulipendekeza hivi vyeo vifutwe
Havina umuhimu
 
Huu muda wa kumpiga majungu mwanaume mwenzio ungetumia kumtumia baba yako pesa huko kijijini ili aache kula michembe
Huu muda wa kucomment kwenye uzi wa majungu aka kupiga umbea, ungeutumia pia kutuma pesa kwa baba ako huko kijijini aache kula michembe pia...au wewe umeishatuma ndo maana unapiga majungu humu?.
 
Sitashangaa sana popote napomuona Said Mtanda akivunja utaratibu wa wazi!

Huyu jamaa alishawahi kuja ofisini kwetu kutaka huduma kama mteja!

Kwanza kabisa alikataa kupaki gari yake sehemu ya wateja wa kawaida bali alilazimisha walinzi apite akapaki sehemu ya mkurugenzi!

Pamoja na hayo vielelezo hakuwa amekamilisha lakini alijitambulisha yeye kama RC ataftiwe ufumbuzi nje ya utaratibu!

Hivyo siwezi kushangaa nikiona popote huyu jamaa kavunja utaratibu!

Anapenda sana kutumia madaraka yake hata akiwa nje ya mkoa wa Mwanza!
Hivi unajua Mkuu wa Mkoa ni nani katika mkoa wake?
 
WEKA WI-FI ZA T¡G0 ZINA SPEED KUBWAA MNOO!
HUU SIO MDA TENA WA KUWAZA KUISHIWA NA DATA, ROUTER NI BEI NAFUU SANA!

⚫KWENYE BISASHARA YAKO WEKA WI-FI

⚫KWENYE SHULE WEKA WI-FI
⚫KANISANI WEKA WI-FI

⚫KAZINI WEKA WI-FI
⚫KWENYE KAMPUNI WEKA WI-FI

⚫NYUMBANI KWAKO WEWE NA FAMILIA YAKO WEKA WI-FI
⚫CHUONI WEKA WI-FI

⚫UNA SECURITY CAMERA FUNGA WI-FI

⚫SEHEM ZINGINE AMBAZO SIJAZITAJA WEKA WI-FI

TUMIA DATA UNLIMITED, YANI BILA KUWAZA KUA GB ZITAISHA?

NJOO NIKUPE ROUTER ZENYE UWEZO MKUBWA TECNOLOJIA YA 5G SPEED HADI 200mbps, NA UNAWEZA KULIPA KIDOGO KIDOGO !

MKOA WOWOTE ULIPO DELIVERY NI FREEE!!

GHARAMA NI NAFUU, SPEED KUBWAA (pia laini pekeyake bila router nakuwezeshea bando unlimited kwa bei poa)
NICHEKI: 0717700921
 
Sitashangaa sana popote napomuona Said Mtanda akivunja utaratibu wa wazi!

Huyu jamaa alishawahi kuja ofisini kwetu kutaka huduma kama mteja!

Kwanza kabisa alikataa kupaki gari yake sehemu ya wateja wa kawaida bali alilazimisha walinzi apite akapaki sehemu ya mkurugenzi!

Pamoja na hayo vielelezo hakuwa amekamilisha lakini alijitambulisha yeye kama RC ataftiwe ufumbuzi nje ya utaratibu!

Hivyo siwezi kushangaa nikiona popote huyu jamaa kavunja utaratibu!

Anapenda sana kutumia madaraka yake hata akiwa nje ya mkoa wa Mwanza!
Uyo ni mganga njaa
 
Tuna MaRC wapumbavu sana, Serikali ifikirie yafuatayo!​
Kwanza, RCs, DCs, ni vyeo ambavyo havina maana kabisa, vipo pale kisiasa.. tukihitaji uwajibikaji tuanze kwa kuondoa hivi vyeo, CCM isilinde failures wao kupitia hivi vyeo!​
Pili, ikibidi basi hivi vyeo viwe vya kushindaniwa na isiwe kwa CCM Failures pekee!​
 
Back
Top Bottom